Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Wednesday, April 15, 2015
Anonymous
PICHAZ: KIVAZI CHA MITEGO CHA JOKATE KIDOTI CHAPAGAWISHA CHUO KIKUU DAR?
Wakati Mrembo Jokate akipita katika moja ya maeneo ya chuo kikuu cha Dar es salaam, wanafunzi wa chuoni hapo walijikuta wakimtolea jicho na kumshangaa kutokana na kivazi cha mitego alichovaa, huku mwenyewe akionekana kuwa bize na mambo yake akiwa hajui kinachoendelea.
Note: Only a member of this blog may post a comment.