Thursday, April 30, 2015

Anonymous

PICHAZ Gumzo za WEMA SEPETU na gauni la harusi, pete ya ndoa @Instagram, eti ni ndoa ya ukweli? Shuka nayo hapa!

WSepetu
Pichaz ziko mitandaoni.. Wema Sepetu nae kapost kwenye ukurasa wake wa Instagram, amevaa gauni la harusi.. Wema Sepetu ameolewa kweli au movie????
Soudy Brown kamtafuta Wema.. alichokijibu ni kwamba ni kweli ameolewa ila hayuko tayari kumtaja mume wake.. amesema kuwa kaamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa ‘juju’.
Sepetuur
Wema amesema ndoa yao ilifungwa bomani kwa sababu mume wake ni mkristo.. kingine ni kwamba harusi ilihudhuriwa na watu watano pamoja na familia yake ila mwishoni mwa mwezi huu watafanya sherehe rasmi.
A photo posted by wemasepetuđź‘„ (@wemasepetu) on
Kuhusu ishu ya kutopata mtoto Wema amesema mwanaume huyo anajua na amekubaliana na hiyo hali lakini inawezekana kwake wakapata mtoto.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza stori yote…

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.