"@davidonjili: Robert Alai, the scare in ACK Msa cleared,car parked by 2 Somalis who went away,car had flat tyres, has been towed and all is ok."
Watu wanaosadikiwa kuwa ni al shabab wamevamia kanisa la ACK cathedral huko mombasa sasa hivi kuna majibishano makali ya risasi kati ya polisi na watu hao.Update
Polisi wamefanikiwa kuwaokoa waumini 100 waliokuwa kanisani kwasasa wanasubiri bomb squard waje kwakuwa kuna gari linasadikiwa walikuja nalo hao magaidi
Update zaidi:
All is well polisi wamechukua hayo yaliyoegeshwa karibu na kanisa na hao wasomali huku matairi ya magari hayo yakiwa hayana upepo . hakuna aliyedhurika lakini "Wasomali"hao wamekimbia na hawajakamatwa for the first time kudos Kenya police force
Note: Only a member of this blog may post a comment.