Friday, April 24, 2015

Anonymous

LULU MICHAEL AMERUDI TENA INSTAGRAM BAADA YA KUJITOA SIKU YA KIFO CHA SEKI!

Siku ya Jana Accounts Mbali mbali Maarufu za Instagram zimeshinda zikipost kuwa Lulu michael amerudi instagram kwa jina la lizymichael Baada ya Kujitoa siku Secky alipofariki Dunia Baada ya watu kuanza kumuhusisha lulu na Kifo Hicho kitu ambacho hakikuwa Kweli!

Baadhi ya Meseji huku instagram kuhusu kurudi kwa lulu Insta hizi Hapa:
lulunation_ Lulu amerudi instagram asante Mungu kwa yote account yake org ni @lizymichael
@lizymichael @lizymichael
@lizymichael
@lizymichael
follow 13h
sephoramwakalinga Karibu swthrt..saiz kua na moyo km wa jambaz @lizymichael hao shain wasikupe shida coz hakuna jipya chini ya jua, ishi utakavyo...hao machokoraa wanaojiropokea acha waendelee kujifurahisha coz hawawez kua wewe. 11h
proudoflulumichael Mungu amekuchaguwa wewe ili uwakomboee na wengine @lizymichael @lizymichael ...
proudoflulumichael She is Back again my Queen Lizy now you can follow her .Her new account is @lizymichael @lizymichael @lizymichael @lizymichael ..Wellcome baq 

NOTE: Lulu mwenyewe alipotafutwa ili kuthibitisha kama kweli ni account yake au ni makanjanja hakupatikana kwa hewa! Endelea kufuatilia zaidi hapa pale tutakapopata jibu tutakujulisha mdau...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.