Wednesday, April 29, 2015

Anonymous

List ya wakali wote walioteuliwa KILI MUSIC AWARDS 2015 iko hapa tayari..

Kili Music Awards ni Tuzo kubwa kwenye industry ya muziki TANZANIA… Waandaaji wa Tuzo hizo leo wameileta kwetu rasmi kabisa ile list ya mastaa wetu wa muziki ambao wameteuliwa kuwania Tuzo hizo kwa msimu wa mwaka huu 2015.
Niko nayo tayari, unaweza kucheki hapa list kamili ya mastaa wote ambao wameteuliwa kwa mwaka huu. I II III IV V VI
Baada ya kuipitia nimeona majina ya mastaa walioongoza kwa kuteuliwa kwenye vipengele vingi zaidi, wa kwanza ni Ali Kiba ambae yuko kwenye vipengele sita, Diamond pia yupo kwenye vipengele sita na Jux ambae yuko kwenye vipengele vinne

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.