Tuesday, April 7, 2015

Anonymous

KAMA ULIMISS: U Heard ya Clouds FM...Story ni picha ya Diamond na Zari, nini kimeongelewa?! Ingia Hapa...

2dmn2
Mtangazaji Adam Mchomvu alikuwa akiendesha show ya XXL leo APRIL 6, kwenye U Heard yake akasema inahusu picha aliyopost msanii Diamond Platnumz kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na mpenzi wake Zari wakiwa wamevaa nguo nyeupe na kuandika “Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi…. Alhamdulillah”@diamondplatnumz
Post hiyo ilizua story nyingi ikiwemo watu kuhisi kwamba wawili hao wamefunga ndoa.
Studio alikuwepo mwanasheria ambae amesema ndoa ni maridhiano kati ya watu wawili na watu wanapoishi pamoja zaidi ya miezi mitatu ni wanandoa halali.
 Ili kusikiliza story yote bonyeza play hapa chini…
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.