KATIKA kuonyesha jeuri ya fedha, mmiliki mmoja wa gari aina ya
Lamborghini Gallardo huko nchini England ametoa mpya baada ya kupata
ajali na kuwaambia mashuhuda kuwa kesho yake angenunua gari lingine kama
hilo.
Mmiliki huyo alipata ajali katika eneo la Beaumont Leys, Leicestershire baada ya kugonga mti na kisha kugonga vizuizi vya barabarani.
Katika ajali hiyo, Lamborghini hiyo yenye thamani ya pauni 250,000 sawa na shilingi milioni 676 za Kitanzania ilichomoka tairi moja la nyuma.

Tairi ya nyuma iliyochomoka baada ya ajali.
Baada ya kutokea ajali hiyo, alishuka kijana mdogo ambaye
hakufahamika jina lake na kuwaambia mashuhuda wa ajali hiyo, kuwa hakuna
tatizo kwa gari hilo kuharibika maana atanunua lingine kesho yake.

Note: Only a member of this blog may post a comment.