Saturday, April 18, 2015

Anonymous

HUYU MREMBO YUPO NJIA PANDA ANAOMBA USHAURI WAKO TAFADHALI!

Naombeni ushauri wenu.Mimi ni msichana wa miaka 21, ninasoma nje ya nchi na nina mpenzi wangu ambaye tuna miaka miwili sasa tuko pamoja. Ananihudumia kwa mahitaj yangu na baadh ya vitu chuoni lakini kwa bahati mbaya nimetokea kumpenda kijana mwingine kwenye facebook. Natamani kuachana na mpenzi wangu ila naona huruma maana ananihudimia na amenisaidia mengi. Natamani kuwa na huyo kijana ila naogopa akiwa na tabia za ajabu au akinisaliti. Kijana nampenda na mpenzi wangu namuonea huruma, naombeni ushauri nifanyaje?!
Leo kwake, kesho kwako! Toa ushauri wako hao chini kwa comment box tafadhali...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.