Thursday, April 16, 2015

Anonymous

HABARI PICHAZ: LULU MICHAEL AMERUDI...

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amerudi tena mbele ya kamera baada ya kuadimika kwa miezi kadhaa. Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Lulu ame-share nasi picha akiwa yupo lokesheni akishoot filamu na kuandika kuwa amerudi kufanya kazi. 

Mashabiki wengi wa filamu walionyesha ku-miss sana mwanadada huyu ambae kipajichake cha kuigiza niling’ara tangu utotoni, kwani ni takribani miezi saba imepita tangu kazi yake ya mwisho “MAPENZI YA MUNGU” ambapo moja kati ya washiriki katika filamu hiyo ni Bi Flora Mtegoha ambae ni Mama Mzazi wa aliyekuwa Msanii Nguli wa Kiume Hapa Bongo Marehemu Steven Kanumba kutoka.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.