Meya Jerry Silaa akiwa anafungua gari lake aina ya Toyota IST
alilofanikiwa kulinunua Juzi tu ambalo limegharimu muda mrefu kulipata
gari hilo ambapo anasema lilikuwa ni ndoto yake muda mrefu kwani amekuwa
hana gari na amekuwa akitumia gari la serikali na kwa muda mwingine
inamlazimu kutembea nalo katika shughuli zake binafsi.
Lakini
sasa Meya Silaa Amesema amejiskia mwenye furaha sana baada kupata gari
linalotumia mafuta kidogo na linalotumia gharama ndogo itakayomwezesha
kuishi maisha ya Furaha...Swali Je?ni unamjua kiongozi mwingine
wakisiasa na kijamii kama meya Jerry Silaa mwenye gari la aina hii na
zuri hivi??


Note: Only a member of this blog may post a comment.