Saturday, April 4, 2015

Anonymous

EX- WA MHESHMIWA SUGU, FAIZA ANENA MAZITO KUHUSU WANAUME WA AINA HII...!

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Faiza Ally ameonekana kuungwa mkono na wengi baada ya kuwatolea uvivu vijana wanaopenda mtelemko katika maisha na kujikuta wakifanyiwa vitendo visivyofaa. 

“Vijana wa kiume wadogo wadogo wana danganya na wanaume wenzao - wanageuzwa kwa ajili ya ugumu wa maisha na tamaa - yarab stara kwa watoto wetu .....Habari za mji huu zina sikutisha sana - kumbe ndio maana siku hizi wanaume wanapenda mik*ndu uwiii tunaelekea wapiiiiii wenzangu ? mimi nasikitishwa natamani kulia kwa sauti kubwa pamoja na yote Lakini Hapana jamani!! Na hofu maisha ya baadae ya watoto wetu “- Faiza aliandika kweye ukurasa wake mtandaoni 

Kufuatia andiko hilo, watu wengi walionesha hasira zao kwa vijana wenye tabia hizo na kuikitika  juu ya maadili yetu kumong'onyeka kadrisiku zinavyozidi kwenda na kuwataka watu waache tabia hizo chafu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.