Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi mali ya kampuni ya Dar
Express linalofanya safari zake kati ya Dar-Nairobi limepata ajali katika mto Wami mapema asubuhi leo...Mpaka sasa hakuna vifo vilivyoripotiwa,.
Kwa taarifa zaidi tutaendelea kukujuza punde tu zitakapojiri!
NEW UPDATES:
ZAIDI ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar Express lililokuwa linatoka Dar kwenda Nairobi kupasuka tairi la mbele kushoto kisha kupinduka katika eneo la Msata karibu na daraja la Wami mkoani Pwani leo.

Note: Only a member of this blog may post a comment.