Baby Madaha
Msanii wa muziki na filamu nchini, Baby Madaha, amesema anajiandaa kupata mtoto wa kumliwaza kabla mwaka haujaisha.
Amesema mtoto ni faraja katika maisha ya familia ana sehemu kubwa kumfariji mzazi.
Akizungumzia hilo, Baby alisema wasanii ambao wana watoto wamekuwa wakiyaendesha maisha yao kwa mpangilio mzuri.
“Nitajitahidi nipate mtoto kabla mwaka haujaisha, naamini ndiye atakuwa mfariji wangu,”alisema.

Note: Only a member of this blog may post a comment.