Kunataarifa kuwa mahusiano kati ya mtangazaji wa Clouds Fm Loveness Love na mwanamziki mkongwe King Crazy GK,
wameachana baada ya hivi karibuni kusambaa picha zikimuonyesha
mtangazaji huyo akipigana busu na star wa Bongo Flava katika tamasha
moja hivi karibuni.
Soudy Brown amemtafuta Gk
ambae amesema hakuwepo eneo la tukio lakini aliziona picha hizo kwenye
mitandao, ila yeye aliona ni tukio la kawaida kwasababu wote ni watu wa
burudani, kwa hiyo taarifa za kuachana sio za kweli bado wako pamoja
kama zamani.
Kusikiliza story yote bonyeza play hapa chini…

Note: Only a member of this blog may post a comment.