Kumetokea ajali asubuhi ya leo majira ya saa 8:48 am maeneo ya Mikese kijiji
cha Fulwe kati ya basi la Abood na Takrbir baada ya ku-overtake, yote
yakitokea Morogoro kuja Dar, na kusababisha folen kubwa ya magari kwa
zaidi ya saa moja.
Picha karibu na eneo la tukio, hapo bondeni ndio kuna ajali!
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa!
Picha karibu na eneo la tukio, hapo bondeni ndio kuna ajali!
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa!

Note: Only a member of this blog may post a comment.