Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kijijini Lagangabili jimbo la Itilima mkoani Simiyu jana jioni wakati wa uzinduzi wa FTP 200 ambao ni mpango wa ulinzi wa kura
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Itilima katika Mkutano wa hadhara ulifanyika katika viwanja vya Lagangabili makao makuu ya ya wilaya
Mkutano unaendelea

Note: Only a member of this blog may post a comment.