Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii
Source: Raia Tanzania.
Source: Raia Tanzania.
My take:
Nani amemuuliza Nape hayo anayokanusha? Kama yanaandikwa kwenye mitandao na hayana ukweli kwa nini asiyapuuze? Anataka kutuambia kila kinachoandikwa kwenye mitandao huwa anakikanusha? Mbona wanaodaiwa kusaidiwa hawakanushi?
Toa maoni yako hapo chini mdau!


Note: Only a member of this blog may post a comment.