Saturday, March 28, 2015

Anonymous

VIDEO MPYA: Baada ya Kutamba na Siri aliyoshorikishwa na Vanessa Mdee BARNABA ameachia hii -SUNA [OFFICIAL VIDEO]

Hazijapita siku nyingi sana toka tumuone kwenye collabo ya video ya wimbo wa ‘Siri’ ambayo Barnaba ameshirikiana na Vanessa Mdee.
Ni leo hii hii tumeipata VIDEO mpya ya Diamond Platnumz Feat. Khadija Kopa, nyingine tena ni hii kutoka kwa Barnaba.. Hii ni video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Suna‘.

Kazi ya VIDEO imefanywa na Director Nick Dizzo.

Tumia time yako kuitazama hapa chini kwa kubonyeza play mdau...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.