Friday, March 27, 2015

Anonymous

PICHAZ: WATU WAMETOKA MBALI! UMEWAHI KUONA AINA YA MAISHA SHILOLE ALIYOTOKA NAYO IGUNGA?

Huyu Shilole wa sasa!
Wanadamu tumezoea kusahau tulipotoka na mara nyingi historia yetu ya kale tumeibatiza jina la ushamba lakini si kwa mwanadada Shilole "Sishi Baby" mkali wa mduara wa kina dada hapa ameamua kuwaonyesha flash back picture na mafans wake wajue zaidi wapi alipotoka na jitihada pekee ndizo zilizomfikisha hapo kiasi kwamba hata wewe unaweza kubadili muonekano wa maisha yako!

Mtazame hapa shilole enzi hizooooo!!
Je, Nuh Mziwanda mtoto wa Ilala born town angekutana na Shilole wa enzi hizo mtoto wa Igunga angeweza kupagawa naye kweli? Jibu hapa ujipime mwenyewe kama ndo ungekuwa Nuh.....

Na huyu ni Shilole wa enzi hizo!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.