Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Friday, March 20, 2015
Anonymous
Mh.Wasira Atoa Mpya: 'Staili Yangu ya Koti Imenipa Umaarufu Hadi Naweza Pata.....'
Wassira Duh! Watu wanaona mbali sana asee...Mh. Stephen Wasira amesema ile picha aliyokosea kufunga kifungo, imempa umaarufu kiasi kwamba anaweza kupata Uraisi! Ukute alifanya makusudi mjue.
Note: Only a member of this blog may post a comment.