Thursday, March 26, 2015

Anonymous

KWANINI HIVI LADY JAY DEE?! ABADILISHA SANDUKU ANALOTAKA AZIKIWE, ATOA MASHARTI MAZITO!

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mwanadada Lady Jay Dee amepost picha ya majeneza mawili ambayo angependa mojawapo azikwe nalo na kuandika hivii;
"I've changed my mind (Nimebadilisha mawazo)
Sitaki tena lile la purple 
Moja kati ya hayo hapo juu 
‪#‎MsiMind‬ 
‪#‎KilaMtuAtakufa‬ 
‪#‎Msiogope‬ 
Nilikuwa nafikiria pia iwe invitees only (akimaanisha kwa watakaoalikwa tu)
‪#‎SitakiKufunuliwa‬"
Una lipi la kumwambia au kumshauri Lady Jay Dee?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.