Wednesday, March 11, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: SAMAHANI KWA PICHA HIZI! AJALI MBAYA YA BASI YAUA ZAIDI YA 20 MAFINGA, IRINGA!

Name:  IMG-20150311-WA0022.jpg
Views: 0
Size:  63.4 KB
BREAKING NEWS: Ajali imetokea changalawe Mafinga basi la Majinja lilikuwa linatokea Mbeya kwenda Dar limeangukiwa na kontena muda huu na watu wengi wanakadiriwa kufariki na hali ni mbaya sana
Watu wapatao 20 wameripotiwa kufariki papo hapo mpaka muda huu baada ya basi hilo la Majinja Express kugongana na lori na kuangukiwa na kontena!

Endelea kutembelea hapa kwa habari zaidi

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.