Saturday, March 7, 2015

Anonymous

A-Z: MREMBO AFANYIWA KITU MBAYA AKIWA NA MPENZI WAKE!


Mrembo huyo akiwa kwenye gari.
Shani Ramadhani 
MREMBO mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuvuliwa nguo kisha kupigwa na madereva bodaboda. 

Tukio hilo lililovuta umati wa watu lilitokea juzikati maeneo ya Sinza Makaburini, jijini Dar wakati mrembo huyo akiwa na mpenzi wake ikidaiwa kuwa walitokea katika nyumba ya kulala wageni.
Imeelezwa kuwa, mpenzi wa mrembo huyo aliyekuwa akiendesha gari, alimgonga dereva bodaboda ndipo madereva bodaboda walipoungana na kumfanyia fujo jamaa pamoja na mrembo wake.Maneno yaliyowekwa katika picha si halisi bali ni kama wanasema, yamepachikwa kiburudani zaidi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.