Tuesday, February 24, 2015

Anonymous

VIDEO [MAJONZI TELE] Hivi ndivyo alivyozikwa msanii wa bongofleva Mez B Dodoma.

Marehemu Mez B ni staa wa bongofleva kutokea kundi la Chemba Squad alilojiunga nalo mwaka 2002 akiwa na wenzake kama Marehemu Ngwea, Dark Master na Noorah. 

Video hii hapa chini ndio inaonyesha kwa ufupi safari yake ya mwisho ilivyokuwa Dodoma mpaka kwenye makaburi ya Maili mbili.
Bonyeza play hap chini kuicheki video hiyo. Kama kifaa chako hakisomi player hii===>>BOFYA HAPA! 

 BALAA TUPU: JE, UNGEKUWA HUJAFANYIWA KITCHEN PARTY?!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!
-millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.