Muonekano wa Wasomali baada ya kukamatwa jana Wilaya ya Mvomero, Morogoro.
Dereva wa lori lililokuwa limebeba
Wasomali, Koka Ndogo alipohojiwa na polisi alisema, "Nilikuwa natoka
Moshi ambako nilimuacha bosi wangu ili mimi nikirudi Dar. Njiani
nilikutana na wasomari wema hawa ambao kwa umoja wao walinipa shilingi
milioni moja kama nauli ya kuwapeleka mpakani mwa Mbeya.
Nilishawishika
kuchuku pesa hizo na kuamu kuchepuka bila bosi kuja na kwenda Mbeya.
"Nilipita njia ya vichochoroni ya Mvomero
ili nitokee Mikumi na kuendele na safari ya Mbeya nilipofika Mvomero
nilikamatwa na 'trafiki' ambaye alituleta hapa kituoni."
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
ASANTE NA KARIBU
TENA!
(HABARI/PICHA: DUSTAN SHEKIDELE/GPL, MOROGORO)

Note: Only a member of this blog may post a comment.