Sunday, February 22, 2015

Anonymous

PICHAZ: WANUSURIKA KUFA KWA AJALI MKURANGA

Gari aina ya TATA lenye namba za usajili SU 39761likiwa limehalibika vibaya baada ya ajali hiyo kutokea.
Mashuhuda wakiwa katika eneo la tukio.
Ajali ya gari imetokea jana jioni katika eneo la Mwalusembe Wilaya ya Mkuranga, Pwani kati ya gari lenye namba za usajili  SU 39761linalomilikiwa na Chuo Kikuu Huria Tawi la Lindi na Fuso lenye namba za usajili T 735 CKY, dereva wa Fuso alikimbia mara baada ya ajali na waliokuwemo kwenye gari dogo wamepata majeraha na kukimbizwa Hospitali ya Mkuranga kwa matibabu.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!
(Habari/Picha: Global Whatsapp +255 712 919 142)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.