Mwana dada Riri a.k.a Rihanna ameingia kwenye headlines mara baada ya show aliyofanya jana usiku katika show ya superbowl waliokuwepo wakifanya na Kanye West.
Mitandao mingi ime-post picha hiyo ikimuonesha tumbo limezidi kuongezeka mbali na siku za nyuma ambapo zilizagaa skendo kwamba Rihanna ni mjamzito.Hata kwa muonekano wa sura anaonekana amebadirika tofauti na zamani.
Swali ambalo limebaki kwa mashabiki wengi ni kwamba mimba hiyo ya nani? Stori nyingi zaidi utazipata hapahapa nitakusogezea habari kamili.

PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.

ASANTE NA KARIBU TENA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.