Kila mtu anapenda kuwa mahali penye ulinzi na usalama wa uhakika, kama ndio hivyo basi moja ya sifa ambayo tunatakiwa kuiangalia sana mahali tunapoishi ni ishu ya usalama wa uhakika.
Katika moja ya vitu ambavyo nimeona nikusogezee ujue ni hii ya list ya Majiji ambayo ni salama zaidi duniani!
Vigezo ambavyo viliangaliwa hapa ni pamoja na ulinzi wa kisasa (vitu kama CCTV camera, scanners), ulinzi na usalama wa afya za watu, ulinzi na usalama wa miundombinu kama majengo, barabara na usalama wa mtu binafsi.
Watafiti wa The Economist Intelligence Unit wametoa idadi ya Majiji hayo 50 salama zaidi duniani kwa kuishi, katika hayo kutoka Afrika ni jiji moja tu limeingia kwenye nafasi ya 47, Johhanesburg Afrika Kusini.
Hapa nimekuwekea haya kumi bora mtu wangu.

No. 1: Tokyo, Japan

No. 2: Singapore, Singapore

No. 3: Osaka, Japan

No. 4: Stockholm, Sweden

No. 5: Amsterdam, Netherlands

No. 6: Sydney, Australia

No. 7: Zurich, Switzerland

No. 8: Toronto, Canada

No. 9: Melbourne, Australia

No. 10: New York, Marekani.
Hapa nimekuwekea haya kumi bora mtu wangu.
No. 1: Tokyo, Japan
No. 2: Singapore, Singapore
No. 3: Osaka, Japan
No. 4: Stockholm, Sweden
No. 5: Amsterdam, Netherlands
No. 6: Sydney, Australia
No. 7: Zurich, Switzerland
No. 8: Toronto, Canada
No. 9: Melbourne, Australia
No. 10: New York, Marekani.
100% INAKUHUSU: Alijigundua kwamba anapenda sana kutumia Internet, akaamua kujifanyia ukatili mkono wake!
===>>SHUHUDIA HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
===>>SHUHUDIA HAPA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.