STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya aina yake baada ya kusema anavutiwa na taasisi huru ya imani ya Freemason kutokana na umakini mkubwa walionao kwenye kazi zao. Akipiga stori na paparazi wetu, Baby alisema watu wengi wamekuwa wakizungumza kwa mitazamo tofauti kuhusiana na Freemason lakini kiuhalisia, watu wa imani hiyo ni makini wanaojitambua na kujiheshimu.
Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha akipozi.
“Hawa jamaa kiukweli siyo wa kuchezewa kabisa, lakini ukweli tu ni
kwamba nawazimikia mno na ndiyo sababu mara nyingi hata ukiangalia kazi
zangu za muziki utakutana na nembo zao kivyovyote vile, sema siwezi
kujiunga nao,” alisema Baby Madaha.
"Tupige kura ya NDIYO Katiba inayopendekezwa"- Rais Kikwete
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
ASANTE NA KARIBU TENA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.