Wednesday, February 25, 2015

Anonymous

HUYU NDIO MPENZI MPYA WA MWANADADA MTUKUTU RIHANNA -PICHAZ

Baada ya Rihanna na Leonardo DiCaprio kutoa ya moyoni mapema mwezi huu kuhusu ukaribu wao na mahaba yaliyopo baina yao, taarifa mpya zinasema kuwa Staa huyo mahusiano na mcheza filamu Richie Akiva.
Rihanna pamoja na Akvia, walikutana kwa mara ya kwanza ndani ya St. Barth’s over iliyopo ikiwa ni siku ya mwaka mpya ndipo toka hapo wawili hao wakaanzisha urafiki hadi kufikia hatua ya kuwa wapenzi. Akiva ambaye ni mmliki wa night club kubwa ndani ya jiji la New York na pia ni rafiki mkubwa wa Leonardo anayesemekana kuwa ni mpenzi wa Riri bila ya kumsahau Rapper Jay Z Kila la Kheri kwako Riri utulie sasa.
HAYAKUHUSU! [PICHAZ] AGNES MASOGANGE AKIJIRUSHA CLUB NA MSANII D' BANJ WA NIGERIA!
===>>JIONEE HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.