Stori: Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda
MKALI wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amepata shavu la kuwa balozi wa kampeni ya kumsomesha mtoto wa kike ijulikanayo kama Morogoro Education Development Organization (MEDO).
Hafla fupi ya kusimikwa ubalozi huo na kusaini mkataba, ilifanyika
hivi karibuni katika Ukumbi wa Hoteli ya Tamal, Mwenge jijini Dar ambapo
baada ya kusaini, Wastara alianza kazi rasmi ya kuhamasisha watu
kuchangia elimu ya mtoto wa kike huku akiongozwa na kauli mbiu ya
kampeni hiyo isemayo ‘Sh. 500 yatosha kunipa elimu.’
“Ninawashukuru MEDO kwa kunipa nafasi hii, niwaahidi kuwa nitaitendea haki kuhakikisha nahamasisha uchangiaji wa fedha kwa ajili ya elimu ya watoto wa kike,” alisema Wastara.
MKALI wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amepata shavu la kuwa balozi wa kampeni ya kumsomesha mtoto wa kike ijulikanayo kama Morogoro Education Development Organization (MEDO).
Mkali wa sinema za Kibongo, Wastara Juma akisaini mkataba wa kuwa balozi wa kampeni ya MEDO.
Wastara Juma akipiga picha ya pamoja na wadau wa kampeni hiyo.
Wastara alishukuru kupewa nafasi hiyo akieleza kuwa ni bahati kwake kwani wasanii wapo wengi.“Ninawashukuru MEDO kwa kunipa nafasi hii, niwaahidi kuwa nitaitendea haki kuhakikisha nahamasisha uchangiaji wa fedha kwa ajili ya elimu ya watoto wa kike,” alisema Wastara.
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
ASANTE NA KARIBU TENA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.