Wednesday, February 11, 2015

Anonymous

DUNIA INA MAMBO: MAPACHA WANAOPENDANA WAAMUA KUOLEWA NA MUME MMOJA HUKO AFRIKA KUSINI!

Tumezoea kuona pacha wengi wakishare mambo wanayopenda kwa pamoja, kitu kama aina ya mavazi wanayovaa na vinginevyo, iliwahi kutokea story ya mapacha walioolewa na pacha wenzao Tanga.
Kutoka Afrika Kusini mapacha wawili wanawake, Owami na Olwethu wenye umri wa miaka 26 wameingia kwenye headline kutokana na kukubaliana kuolewa na mwanaume mmoja, Mzukiseni Mzazi ambapo mapacha hao wamesema walikuwa wakishirikiana kwa mambo mengi tangu wakiwa wadogo huku wakiwa na ndoto ya kuolewa na mwanaume mmoja.

CHEKA UNENEPE KWA AFYA: UTETEZI WA JAMAA HUYU ALIYEKAMATWA NA BANGI NCHINI KENYA LAZIMA UKAE! 
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!  

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.