Wednesday, February 11, 2015

Anonymous

CHEKA UNENEPE KWA AFYA: UTETEZI WA JAMAA HUYU ALIYEKAMATWA NA BANGI NCHINI KENYA LAZIMA UKAE!

Mtu mmoja amekamatwa akiwa anasafirisha bangi baada ya gari alilokuwa akisafirishia kupata ajali likiwa linatokea maeneo ya Busya kuelekea Nairobi, Polisi wakafanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo. 

“Bangi sio kitu ngumu hata tumbaku ni so expensive kushinda bangi… sasa bangi ngoja nikuambie hiyo tani moja tukinunua Uganda ama Tanzania tunanunua 50 buku na tunauza 100 buku, lakini saa hii hawa wakikushika wanakuambia one milion, sasa one milion ningekuwa nafanya hii kazi? Ningepata one milioni kwani mimi nitakuwa mjinga nikimbie njiani kila siku?“– alijitetea mtuhumiwa huyo. 

Mtuhumiwa huyo ambaye amepelekwa rumande amekiri kufanya biashara hiyo kwa zaidi ya miaka kumi sasa likiwa ni tukio lililotokea siku chache baada ya watuhumiwa wengine kukamatwa na bangi katika maeneo hayo.

Unaweza kuisikiliza taarifa hiyo kutoka kituo cha K24 hapa.

ACHA USHAMBA! PESA MBWEMBWE TU, MAPENZI YA KWELI YAPO!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!  

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.