HAMIDA HASSAN/Mchanganyiko
MASTAA wa filamu ya Daddy’s Wedding, Yvone Sheryl ‘Monalisa’, Banana Zoro, Sandra, Mama Abdul na wenzao hivi karibuni walipata ajali walipokuwa kwenye maandalizi ya filamu hiyo kwenye mbuga ya Saadani.
Ajali hiyo ilitokea katika daraja moja dogo mbugani hapo ambapo
walikusanyika kwa ajili ya kushuti mojawapo ya vipande vya filamu hiyo
mpya, lakini likaporomoka na kuwafanya baadhi yao kuumia na wengine
kupata mshtuko mkubwa.
“Aliyeumia zaidi ni Sandra lakini alipewa matibabu ya haraka na kuruhusiwa, ila tunamshukuru Mungu tulifanikiwa kumaliza salama na hatukudaiwa chochote,” alisema na kumtaja pia Jenerali Ulimwengu kuwa mmoja kati ya waigizaji walio ndani ya filamu hiyo.
MASTAA wa filamu ya Daddy’s Wedding, Yvone Sheryl ‘Monalisa’, Banana Zoro, Sandra, Mama Abdul na wenzao hivi karibuni walipata ajali walipokuwa kwenye maandalizi ya filamu hiyo kwenye mbuga ya Saadani.
“Aliyeumia zaidi ni Sandra lakini alipewa matibabu ya haraka na kuruhusiwa, ila tunamshukuru Mungu tulifanikiwa kumaliza salama na hatukudaiwa chochote,” alisema na kumtaja pia Jenerali Ulimwengu kuwa mmoja kati ya waigizaji walio ndani ya filamu hiyo.
MAKUBWA NA MAZITO HAYA: DIVA BONGO MUVI AIBUKA NA MIMBA YA MAREHEMU MEZ B
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
ASANTE NA KARIBU
TENA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.