Baada ya staa wa bongo movie Salma Jabu maarufu Nisha kukaa na Ayo TV katika exclusive interview na kuelezea ukweli kuwa hana mimba bali alidai alikuwa anafikisha sehemu ya ujumbe katika filamu yake ijayo.
Leo
December 22 2016 Soudy Brown amezungumza na Nisha akimuomba awaombe
msamaha kutokana na kusingizia msanii wa bongo fleva kumpa ujauzito
lakini yeye akasema hakumtaja mtu.
Aidha Soudy Brown amezungumza na Nay wa Mitego ambaye Soudy Brown aliwahi kusema ndiye mhusika wa ujauzito wa Nisha…..
‘nimemsamehe
sinaga tatizo kabisa na mtoto wa kike, alifanya hivyo labda kuna kitu
chake alitaka kitimie, unajua upande wa movie biashara imekufa kabisa
ili aendelee kusikika lazima atengeneze kiki, nadhani hiki siyo kitu
kigeni tutasikia mengi’
Note: Only a member of this blog may post a comment.