Sunday, December 25, 2016

Unknown

Msanii wa Bongofleva atakayeperform CAF Glo Awards na AFCON 2017

Msanii wa Bongofleva ambaye anafanya vizuri kwa sasa kutokana na kuachia hit-songs kila kukicha na kuteka muziki wa Africa, Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii waliopewa heshima ya kufanya show katika tuzo ya mchezaji bora Africa January 5  na michuano ya mataifa ya Afrika 2017. 

Diamond ataanza kuperform katika utoaji wa tuzo za mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2016 maarufu kama CAF Glo Awards ambazo zitafanyika January 5 Nigeria, ila January 14 2016 ataperform katika uwanja wa Stade de l’AmitiĆ© Libreville wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 40000 wa kabla ya mchezo wa ufunguzi kati ya mwenyeji Gabon dhidi ya Guinea-Bissau.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.