#UchaguziMarekani:Matokeo ya uchaguzi wa urais Marekani #DonaldTrump ashinda kwa kura 276 na #HillaryClinton kura 218.
Kwa matokeo hayo sasa #Trump ndiye rais mteule wa 45 wa Marekani ataye mrithi mtangalizi wake, Rais Barack Obama mwakani.
Mpinzani wa #Trump Bi.#HillaryClinton ampigia simu na kumpongeza kwa ushindi.
,.Bonyeza hapa kuona ->g.co/kgs/k28zYi

Note: Only a member of this blog may post a comment.