Monday, October 3, 2016

Unknown

Vanessa Mdee kwenye list ya wanaowania tuzo hii kubwa!

Mrembo na msanii VeeMoney ambaye anaiwakikisha vizuri Tanzania katika anga za mziki kimataifa, kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha zinazoonyesha kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Mama Awards kipengele cha Best Female ama msanii bora wa kike Afrika.
Vee alipost na kuishukuru MTVAfrica kwa nafasi hiyo ya kipee ya kuwa kati ya wasanii watano bora barani Afrika. Pia aliandika katika caption namna ambavyo mashabiki wake wanavyoweza kumpigia kura katika tuzo hizo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.