Napenda kuwashauri uongozi wa TV1 kuhusu kipindi kimoja anachoweka vichekesho huyu mtangazaji wenu Mc Pilipili(the clip).
Mshaurini huyu kijana aandae vichekesho vyake mwenyewe ili kukiongezea thamani na wapenzi kipindi chenu.
Mshaurini huyu kijana aandae vichekesho vyake mwenyewe ili kukiongezea thamani na wapenzi kipindi chenu.
Sasa hivi kipindi hicho kinaboa sana baada ya watu kugundua kuwa anakopi kutoka kwenye TV mojaa ya Kenya halafu ndo anatuletea huku- Mbaya sana. Anajishusha sana kwa sisi ambao ni wapenzi wa vichekesho vyake vya awali vya kwetu Tanzania mbona ni vizuri tu-angalia kina mzee Majuto utaelewa maana.
Jamii Forums
Jamii Forums
Note: Only a member of this blog may post a comment.