Saturday, October 15, 2016

Unknown

Mbwana SAMATTA atajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika

Mshambuliaji wa Taifa Stars na klabu ya K.R.C. Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, ametajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa shirikisho la soka barani Afrika, CAF.
Majina hayo 30 yametangazwa Jumamosi hii kupitia tovuti ya shirikisho hilo la soka barani.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.