Monday, September 12, 2016

Unknown

Wanawake Bwana! Eti Hizi Ndio Njia Wanazotumia Kumkataa Mwanaume

Msichana akitaka kukutafutia sababu ya kukukataa wala hatumii nguvu, ana full of option, na majibu yao makuu ni haya yafuatayo:

1.Wewe kwanza mweusi na mi mweusi mtoto atakuwa so dark, mi napenda wanaume weupe ili mtoto atoke mzuri. Anaongea kwa kujiamini utadhani kwenye kutunga mimba huwa anamsadidia Mungu kukoroga kopo la rangi ya mtoto.

2.We sio type yangu... Sasa sijui type ipi anataka Nokia au Samsung!

3.Am not ready, moyo wangu umepasuka... Moyo upasuke bado unatembea? Tairi lenyewe likipasuka watu wanaziba
pancha...
Kuwa Mwanaume shida, tunapambana na majibu unaweza kumzaba vibao mtu na Love inaisha hapo hapo!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.