
Ni miongoni mwa waimbaji wa bongo wanaopewa sifa nyingi za utunzi na uimbaji kwenye bongofleva, lebo inayomsimamia ni WCB ya Diamond Platnumz, ukishamaliza kuitazama hii video usiache kutoa comment yako umeipokeaje ili akipita ajua Watu wake wamesemaje.
Note: Only a member of this blog may post a comment.