Saturday, September 17, 2016

Unknown

Tulimpokea RayVanny wa WCB Miezi Mitano Iliyopita Tu Leo Katuonyesha Nyumba Yake Na Gari Analomiliki [+Pichaz]


Ni mwimbaji mwingine staa wa bongofleva, makofi mengi amepigiwa kwenye utunzi pamoja na ukali wa melody, anaitwa Rayvanny kutoka WCB ambaye ngoma yake ya kwanza kuiachia toka yuko chini ya lebo ya WCB aliiachia ‘kwetu‘ April 2016. 

Anazo sifa nyingine za uchapakazi pia na ndio maana leo anafurahia mafanikio/hatua yake kwa kipindi hiko kifupi ambapo aliweka picha ya nyumba na gari lake na kuandika ‘Daaah eti na mimi leo naingia kwangu, kweli Mungu hana upendeleo (swala la nyumba na gari mimi………. )

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.