Monday, September 12, 2016

Unknown

Surprise ya ALIKIBA Show ya Mombasa Yawajambisha Mapovu WCB, Meneja wa DIAMOND Arusha Madongo Gizani


Unakumbuka Fiesta Mwanza wasanii wote watakao tumbuiza walitangazwa ila kuna msanii mmoja alitumbuiza kama bonus au surprise.
Hali hiyo ilijitokeza tena jana mjini Mombasa, mwanzo chama cha ODM kilitangaza Diamond atatumbuiza lakini baada ya show yake Alikiba naye alipanda kutumbuiza.
Uongozi wa Diamond umeamua kurusha dogo upande wa pili kama ifuatavyo:

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.