Tuesday, September 13, 2016

Unknown

SNURA Alimtamani Rayvanny Baada ya Denda Kali Kwenye Video? Kajibu Hapa

Baada ya kukamilika kwa video ambayo kwa sasa inaelekea kutimia watazamaji milioni moja Youtube ‘Natafuta Kiki‘ ya Rayvanny, msanii wa filamu, maigizo na muziki Tanzania Snura amefanya Interview na nakusema

Yeye aliifanya ile scene ya kumbusu Ray kwenye video hio kama kazi tu, kama ambavyo script ilimtaka afanye ndicho alichokifanya, na wala hakumtamani Ray
Snura kwa ujasiri akaongeza kwa kusema
Kama script inataka nimkiss hata mwanangu ninaweza kufanya hivyo”.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.