Zarinah Hassan ‘Zari (kushoto) akiwa katika pozi na marafiki zake.
Zari ambaye sasa ana ujauzito wa mtoto wa pili wa Diamond unaokadiriwa kuwa wa miezi sita, awali watu hawakuamini kwamb ni kweli ameamua kubeba mimba nyingine fasta lakini walakini huo sasa unafutika baada ya mimba hiyo kuonekana kukua kila kukicha.
“Kiukweli ile mimba sasa inamtesa sana Zari, hata Bongo kila akipanga kuja anaahirisha, sijui ni kwa sababu ni mtoto wa kiume? Kikubwa ni kumuombea muda wa kujifungua ufike na ajifungue salama ili furaha ya kaka yetu itimie,” alisema wifi mtu huyo.
Note: Only a member of this blog may post a comment.