Thursday, September 1, 2016

Unknown

Majibu ya Shamsa Ford Kuhusu Madai ya Kususiwa na Ndugu Kwenye Shughuli!

Ikiwa leo ni September 01 2016 ambapo tukio la kihistoria la kupatwa kwa jua, Rujewa Mbarali, Mbeya, U HEARD kupitia XXL ya Clouds FM imezungumza na staa wa bongo movie, Shamsa Ford ameulizwa madai kuwa kasusiwa na wana ukoo kwenye shughuli.

Shamsa Ford amekanusha kuwepo kwa harusi bali itakuwa maulid na kuwa hajasusiwa ndugu, Shamsa Ford amesema…..>>>’Hamna harusi ila ni maulid, inafanyikia kwa baba yangu mzazi kwa Mr Ford ndio kwa baba yangu hapo, hakuna aliyenisusia, mimi nafanya maulid ambayo ndugu zangu wanashughika’
Bonyeza play kuisikiliza story yote iko hapa!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.