Leo katika kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na post za
kijana wa kiume ambazo zinamuhusu msanii Raymond wa wasafi,post za
kijana huyo ni tata kiasi kwamba nilishindwa kufahamu kijana huyo
anauhusiano gani na msanii huyo wa wasafi?
Post za huyo kijana ni hizi hapa kama zilivyopostiwa na Huyo kijana maana inaonyesha wanafahamiana! Haijajulikana kama ni kweli au huyu kijana shoga anatafuta kiki mjini
Post za huyo kijana ni hizi hapa kama zilivyopostiwa na Huyo kijana maana inaonyesha wanafahamiana! Haijajulikana kama ni kweli au huyu kijana shoga anatafuta kiki mjini

Note: Only a member of this blog may post a comment.