Tuesday, September 13, 2016

Unknown

Je, Ni kweli Yusuph Mlela Amekuwa Teja?

Kama ambavyo wewe umeshtuka, nami nilistuka hivyo hivyo kusikia habari za chini chini kumhusu huyu jamaa wa Bongo Movie aliyetamba sana miaka mitatu kurudi nyuma..

Nimekuja kuuliza tu kwa kuwa taarifa nilizopenyezewa na mdau anayeishi mitaa ya Kinondoni zinadai jamaa gari limekaribia kuwaka.

Sio habari nzuri kama ni kweli, na naomba Mungu ziwe ni 'fununu' tu, ila ni vyema wenye taarifa zaidi mkatujuza mbivi au mbichi za fununu hizi ili tusaidiane kummulika jaama ikibidi na yeye 'apate msaada' mapema kabla haijawa too late..

I loved his works.. was a big fan.. Hapa Hemed, pale Mlela.. Kanumba alivyokuwa anawatumia kwa utengano mpaka ikawa inaleta ladha kushindanisha yupi mkali zaidi.
-By Seth

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.