Tukumbuke kwamba kinyume cha beba ni shusha, na kinyume cha kusanya ni tapanya, basi ukishindwa kumuhendo mwanamke vizuri kwa upendo na uaminifu mkubwa basi wewe mwenye utakuwa umejitengenezea jehanamu.
A - Pale mwanaume anapompa mwanamke mbegu, mwanamke humpa mwanaume mtoto.B - Pale mwanaume anapompa mwanake nyumba, mwanamke uifanya nyumbani.
C - Ukimpa mwanamke bidhaa za shambani yeye anakutengenezea chakula
D - Ukimpa maneno machache yeye anakutengenezea sentensi nzima
E - Ukiamua kumchanganya akili yake kidogo tu yeye anaweza kukuvurugia maisha yako yote, ila ukimpa furaha kidogo yeye atayafanya maisha yako yawe paradiso. Kwahiyo tusilaumiane.
Note: Only a member of this blog may post a comment.